Home > Term: kusoma kwa kushirikiana
kusoma kwa kushirikiana
Mbinu ya kufundisha ambayo inasisitiza wanafunzi kufanya kazi pamoja katika vikundi vidogo vidogo ili kukamilisha jukumu au kufikia lengo la pamoja; wakati mwingine, wanafunzi wanaweza kuwajibikia kusoma kwa wenzao.
- Μέρος του λόγου: noun
- Κλάδος/Τομέας: Εκπαίδευση
- Category: Teaching
- Company: Teachnology
0
Δημιουργός
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)